SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Kwani tunapenda? Ila tunajikuta tu tushatongoza na kuchepuka. Hivyo yaani.
 
Yaani wanawake wote wangekua kama wewe ingekua poa sana,sasa ngoja waje ulweso na hajar wamwage mapovu hapa
Tatizo lenu nyie mkichepuka huko mnanogewa hata heshima nyumbani hamna pumbavu kabisaa unakuta mwanaume anapicha chafu za michepuko kwe sim yake wakati anajua kabisaa kuwa mkewe atashika hyo sim sasa namna hyo mwanamke akufanye nini ee mnatuchefua wenyewe yani
 
Hahahah!![emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Wapeni vijambio
 
Hahahah!![emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nilichojifunza kuhusu wanawake ni kuwa huwa wanahisia rifauti kuna wale ambao anafanya tu kwa ajili ya fulani tu au kwa kumkomalia au pesa au anataka kitu fulani kutoka kwako.

Mimi yule binti alivutiwa na kitu fulani kutoka kwangu lakini alikuwa na aibu kusema ila kunakipindi alikuwa anatetemeka sio kwa uoga bali nadhani nilikuwa namfikisha kwenye hisia.

Hakuwahi kuniuliza nafanya kazi gani wala kama nina mke,nilkuwa natoka nje usiku kwenda kumuuliza mlinzi kama lile basi limeshapita nikiwa nimevaa taulo tu huku suruali nikiwa nimeitundika ndani.

Jambo la ajabu wala sikuwa na wasiwasi kuhusu kusachiwa,yule binti alikuwa amelelewa katika maadili mazuri na pia alikuwa na hela vile vile.

Nilikuwa namtania mara kwa mara na alikuwa ni mcheshi sana.tulijaribu style mbalimbali ambazo mke wangu nisimgewahi kumuuliza,na yule alenjoi zote nililala fofofo usiku huo aliniamsha majira ya saa kumi hivi mimi huwa natembeaga na olive oil nikajipakaa ili rusichubuane nikampa nikapewa mahaba wacha kabisa.
 
Kumbe olive oil ina matumizi mengi hivi?
 
Mkuu Pablo Blanco kama wewe sio mpenzi wa Kondom tumia Olive oil jipake na yeye mwambie anipake ukinihisi yanaanza kukauka chomoa pakaa tena.
 
Hakuna namna tupeni ruhusa tu.
 
Siku mkianza kulala bila chupi na kukoma tabia ya kusema eti leo nimechoka kazini

Demiss
 
Ukiangalia kwa makini kuna kitu wanachokosa nyumbani japo sio wote . Wanawake angalieni wanachokosa waume zenu , muwatimizie hawatatoka tena , jaribu tu muone
 
Rafiki yangu ana mke alisafiri kikazi. Akakutana na mchepuko wake huko. Wakawa wanaishi chumba kimoja, hotel moja. Mkutano ulikuwa mrefu, siku 15. Baada ya siku 4 alinitumia SMS kuwa amemtoroka mchepuko wake hotelini amekwenda kulala kwa hawala mwingine, hotel jirani na hiyo. Huko alimaliza siku 3 lakini mchana wakawa wanaonana mkutanoni na mchepuko wake wa mwanzo. Tafrani ikaanza akabanwa kusema alipokuwa, mpaka mchepuko ukaahirisha mkutano na kurudi nyumbani kwao. Sasa napata shida kweli kujua wanaume tunataka nini...hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…