Swali yenye utata.

Swali yenye utata.

kwanza mtu hawezi kuwa na ujasiri wakumfumania mpenzi ambaye si mke/mume wake,ataanzaje
dah kweli mkuu,kwanza umfumanie ya nini wakati hujamwoa
 
Karibu sana jukwaani!!!umewasalimu wakubwa wa jukwaa??!!!
Heri umemkaribisha kijana,naona avatar yako umekula pozi unapata moja mbili
 
Tunapoongelea ku'cheat' maana yake panatakiwa pawepo mtu wa pili utakayem'cheat',thus automatically wenye ndoa wanaongoza coz wana watu wa kuwa'cheat'!!!Je ambaye yupoyupo atam'cheat nani wakati yuko mwenyewe?????
 
Avatar yangu huwa inareflectnilivyo!!!nikiingia JF lazima kunakuwa na kachupa ka wine pembeni na kaglasi!!then mdogomdogo nalisongesha!!!hahahahaha!!
 
kwanza mtu hawezi kuwa na ujasiri wakumfumania mpenzi ambaye si mke/mume wake,ataanzaje
labda mpaka uvute kwanza ndo umfumanie,dah ila sio hii karne ya sasa
 
Avatar yangu huwa inareflectnilivyo!!!nikiingia JF lazima kunakuwa na kachupa ka wine pembeni na kaglasi!!then mdogomdogo nalisongesha!!!hahahahaha!!
Dah hata mimi hayse,lazima kuwe na kamdundo wa kamziki halafu na glass lenye kimiminika cha gold
 
Tunapoongelea ku'cheat' maana yake panatakiwa pawepo mtu wa pili utakayem'cheat',thus automatically wenye ndoa wanaongoza coz wana watu wa kuwa'cheat'!!!Je ambaye yupoyupo atam'cheat nani wakati yuko mwenyewe?????

Halafu kama naona kuna umuhimu wa ambao hawajaoa kuwa na extra,ili ukiachwa haikupi presha
 
Walio nje wanatamani kuingia na walio ndani wanatamani kutoka
Ila huwezi kuiona ndoano mpaka uingie kwenye ndoa PATAMU HAPO
mkiwa nje mtamu...mkiingia ndani mchungu..teh teh teh hapo patamu
 
Back
Top Bottom