Swali yenye utata.

Sasa nje unatoka wapi tena wakati wakati pako wazi tu.

hee! kumbe ukiwa nje hauruhusiwi kutoka? Eerrr...! my bad, wacha basi niingie ndani halafu nitoke. By the way uko powa?
 
Wenye ndoa wapo juu, nakuhakikishia hata mwanamke akitongozwa na mtu mwenye mke ni balaa kwa kuimbisha! Anawaza halafu anajijibu mwenyewe, siyo mchezo.
 
hee! kumbe ukiwa nje hauruhusiwi kutoka? Eerrr...! my bad, wacha basi niingie ndani halafu nitoke. By the way uko powa?
mi niko poa sijui wewe,njoo basi toka nje tuingie ndani,teh teh teh
 
hahaaa, mie nataka nijaribu kuingia halafu nitoke nione ladha yake ikoje
Kumbuka kina cha maji hakipimwi kwa miguu miwili, unajaribu unanasa unapiga 4wheel ngoma inagoma mpaka lije tingatinga ndiyo usaidiwe tehe tehe tehe tehe.
 
Acha ujinga. Ukisikia ndoa tu unashoboka. Unacheza na ndoa nini?
Hata kama utajitetea ni wewe tu ni mwaminifu ila kwenye ndoa wengi wanacheat.
 
Swali lenye utata + Jibu lenye utata = Ngoma draw
 
Hata kama utajitetea ni wewe tu ni mwaminifu ila kwenye ndoa wengi wanacheat.

mimi ni mwaminifu kwa kiwango cha juu sana cha 20%. Asilimia zilizobaki ndiyo nacheat.
 
Kukutana kimwili nje ya mipaka ya ndoa huitwa zinaa au uasherati. Mtume Paulo alisema kwamba wale watendao mambo kama hayo hawataurithi ufalme wa Mungu (ona 1Wakor. 6:9-11). Ingawa Mkristo anaweza kujaribiwa na pengine kufikia kuanguka katika tendo la uzinzi au uasherati, atajisikia hatia kubwa sana rohoni mwake, itakayompelekea kutubu.

Lakini kwa sababu ya zinaa, kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe. Vivyo hivyo, mume hana amari juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu (1Wakor. 7:2-5).

Hallelujah!! mbarikiwe na bwana.
 
mimi ni mwaminifu kwa kiwango cha juu sana cha 20%. Asilimia zilizobaki ndiyo nacheat.
Mungi kama hiyo ndo % ya juu basi dah umejitahidi
 
Dasa ambao hatujaoa ni zinaa,je waliopo kwenye ndoa?
 
umesha sema wenye ndoa na wasio kuwa na ndoa kundi lipi linaongoza ku cheat, sasa mtu hajaowa atacheat vipi? Swala la kucheat lipo tu kwa walio owa. Olewa. Lol
 
umesha sema wenye ndoa na wasio kuwa na ndoa kundi lipi linaongoza ku cheat, sasa mtu hajaowa atacheat vipi? Swala la kucheat lipo tu kwa walio owa. Olewa. Lol
thanks mkuu
 
Kumbuka kina cha maji hakipimwi kwa miguu miwili, unajaribu unanasa unapiga 4wheel ngoma inagoma mpaka lije tingatinga ndiyo usaidiwe tehe tehe tehe tehe.

tehe..nasi ntatumia rula kupima
 
Hivi kuna shindano ya kucheat?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…