Swali yenye utata.

wenye ndoa wanapendana sana na huwa hawacheat nani kawadanganya!
 
we acha tu kila siku kuulizana maswali tunatimiza lini ndoto za kuishi pamoja
dah ila sometimes ukiwa ndani pia kuna raha but ikianza karaha ndo ishu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…