Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
At your best.Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwani I isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizqzi vijavyo..au watu watakuwa wanapigq mbizi kwenda kuangalia mawe hayo...
Habari za siku Mkuu Mzee Mwenzangu, Mzee Mwanakijiji , long time. Karibu tena JF, we miss you na vitu fikirishi kama hivi, nikaikumbuka enzi zile za ka inzi!.Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwanini isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizazi vijavyo..au watu watakuwa wanapiga mbizi kwenda kuangalia mawe hayo... kujua yakoje? KUNA gharama iliyotumika...mtaambiwa mamilioni ya shilingi yalitumika kuzamisha mawe yasiyoonekana...na hatujui yalipo..tukibisha hakuna mawe je?
Mzee Mwanakijiji nadhani ktk ule ulimwengu, ulikuwa kama utabiri fulani. Maana January alisema hapo walipokutania ni shimoni na patajazwa maji na hapataonekana milele. Nikashindwa kuelewa hivi anaelewq maana ya neno milele???? Je ni kujitabiria kuwa waliohudhuria hapo wote watakufa very soon kwa sababu wamefanyia kwenye shimo na uwakilishi wake ni kama kaburini kiasa kwamba symbolically they’re all buried?????? Yaani January hakufahamu namna ya kuchagua maneno. Haya tukija na hayo mawe inamaana gani kusema hayataonekana milele? Pia je kwa nini yalitolewa kwa walio hai kwanza badala ya kufuata kiawamu??? Je kutoa kwanza kwa walio hai ambao kwa mujibu wa baba yake January ni watu wazuri hawatakufa baadaye kutoa hizo zawadi wa waliotangulia kufa kwa sababu walikuwa watu wabaya inamaanisha nini??? Kwa nini wasingetoa kufuata awamu? Nikiangalia kwa jicho la kiroho kuna kitu kimefanyika hapo na matokeo yake yataonekana very soon.Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwanini isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizazi vijavyo..au watu watakuwa wanapiga mbizi kwenda kuangalia mawe hayo... kujua yakoje? KUNA gharama iliyotumika...mtaambiwa mamilioni ya shilingi yalitumika kuzamisha mawe yasiyoonekana...na hatujui yalipo..
Tukibisha hakuna mawe je?
[emoji38][emoji38][emoji38]Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwanini isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizazi vijavyo..au watu watakuwa wanapiga mbizi kwenda kuangalia mawe hayo... kujua yakoje? KUNA gharama iliyotumika...mtaambiwa mamilioni ya shilingi yalitumika kuzamisha mawe yasiyoonekana...na hatujui yalipo..
Tukibisha hakuna mawe je?
Naona kamuangaza fulani katika analysis yako ndugu..Mzee Mwanakijiji nadhani ktk ule ulimwengu, ulikuwa kama utabiri fulani. Maana January alisema hapo walipokutania ni shimoni na patajazwa maji na hapataonekana milele. Nikashindwa kuelewa hivi anaelewq maana ya neno milele???? Je ni kujitabiria kuwa waliohudhuria hapo wote watakufa very soon kwa sababu wamefanyia kwenye shimo na uwakilishi wake ni kama kaburini kiasa kwamba symbolically they’re all buried?????? Yaani January hakufahamu namna ya kuchagua maneno. Haya tukija na hayo mawe inamaana gani kusema hayataonekana milele? Pia je kwa nini yalitolewa kwa walio hai kwanza badala ya kufuata kiawamu??? Je kutoa kwanza kwa walio hai ambao kwa mujibu wa baba yake January ni watu wazuri hawatakufa baadaye kutoa hizo zawadi wa waliotangulia kufa kwa sababu walikuwa watu wabaya inamaanisha nini??? Kwa nini wasingetoa kufuata awamu? Nikiangalia kwa jicho la kiroho kuna kitu kimefanyika hapo na matokeo yake yataonekana very soon.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwanini isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizazi vijavyo..au watu watakuwa wanapiga mbizi kwenda kuangalia mawe hayo... kujua yakoje? KUNA gharama iliyotumika...mtaambiwa mamilioni ya shilingi yalitumika kuzamisha mawe yasiyoonekana...na hatujui yalipo..
Tukibisha hakuna mawe je?
Hiki kisa kinanikumbusha fiksi za mwarabu flani anayeaminiwa na watu billion 2 eti jua linazama kwenye dimbwi la tope jeus na eti ukifa lazima ukamuliwe mavi uingie peponi msafi.Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwanini isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizazi vijavyo..au watu watakuwa wanapiga mbizi kwenda kuangalia mawe hayo... kujua yakoje? KUNA gharama iliyotumika...mtaambiwa mamilioni ya shilingi yalitumika kuzamisha mawe yasiyoonekana...na hatujui yalipo..
Tukibisha hakuna mawe je?
The fact kwamba umeongea...MATOKEO tayariMzee Mwanakijiji nadhani ktk ule ulimwengu, ulikuwa kama utabiri fulani. Maana January alisema hapo walipokutania ni shimoni na patajazwa maji na hapataonekana milele. Nikashindwa kuelewa hivi anaelewq maana ya neno milele???? Je ni kujitabiria kuwa waliohudhuria hapo wote watakufa very soon kwa sababu wamefanyia kwenye shimo na uwakilishi wake ni kama kaburini kiasa kwamba symbolically they’re all buried?????? Yaani January hakufahamu namna ya kuchagua maneno. Haya tukija na hayo mawe inamaana gani kusema hayataonekana milele? Pia je kwa nini yalitolewa kwa walio hai kwanza badala ya kufuata kiawamu??? Je kutoa kwanza kwa walio hai ambao kwa mujibu wa baba yake January ni watu wazuri hawatakufa baadaye kutoa hizo zawadi wa waliotangulia kufa kwa sababu walikuwa watu wabaya inamaanisha nini??? Kwa nini wasingetoa kufuata awamu? Nikiangalia kwa jicho la kiroho kuna kitu kimefanyika hapo na matokeo yake yataonekana very soon.
Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwanini isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizazi vijavyo..au watu watakuwa wanapiga mbizi kwenda kuangalia mawe hayo... kujua yakoje? KUNA gharama iliyotumika...mtaambiwa mamilioni ya shilingi yalitumika kuzamisha mawe yasiyoonekana...na hatujui yalipo..
Tukibisha hakuna mawe je?