Swali

Swali

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,054
Reaction score
5,511
Hivi kama ingelikuwa imetabiriwa Yesu kuzaliwa katika kipindi hiki, kuna bikira ambaye angepatikana kama Mariam alivyopatikana kwa ajili ya kubeba mimba ya Yesu manake kizazi hiki mhhhhhhhh!!!!!!

Mmmmh! Hata kama ndo kudharauliana kwakweli sio hivyo.....! I have got ur logic lakini huko ulikokwenda ni mbali sana mtu wangu.

mbona wapo wengi,mmoja wapo n mm

Mmmmh! Hata kama ndo kudharauliana kwakweli sio hivyo.....! I have got ur logic lakini huko ulikokwenda ni mbali sana mtu wangu.
ni kweli hamna wala haendi mbali,ukifanya uchunguzi wengi sio bikira

bikra zipo tena za kumwaga sema kama wewe(mwanaume) ni mtu wa mademu saaaana huwezi kupata ila wa2livu wanawapata

kwani huyo mariam alikuwa na umri gani kipindi hicho.?

usijibu swali kwa kuuliza swali ndugu maana nilicholeta sio kufahamu umri wa Mariam

aaaaargh bikira ya nn watu wanataka maujuz

Sasa maujanja ndio ki2 gani, au ndio yanayopoteza wadada mpaka kufanya wapoteze bikira wakiwa bado vitoto? Naomba ufafanuzi zaidi

Mabikira wapo, ila sitaki kusikia hiyo kitu

Hivi kama ingelikuwa imetabiriwa Yesu kuzaliwa katika kipindi hiki, kuna bikira ambaye angepatikana kama Mariam alivyopatikana kwa ajili ya kubeba mimba ya Yesu manake kizazi hiki mhhhhhhhh!!!!!!

Istighfar (also Astaghfirullah or
Estagfirullah) (Arabic: ﺇﺳﺘﻐﻔﺎ&#65197😉, is the act of
seeking forgiveness from God

Back
Top Bottom