Swali

Swali

Mabikira wapo wengi but wanaozitoa hizo bikira si wanaume? na je wao zao zipo?
 
Swali lako linaonyesha hauujui kabisa uweza wa Mungu, siyo kizazi hiki tu hata kama ingekuwa ni baada ya miaka elfu toka sasa lazima bikira angepatikana kukamilisha kusudi la Mungu. Kumbuka Mungu hadanganyi wala hashindwi kamwe. Akileta unabii lazima autimize.
 
Jamani acheni Jazba swali hili ni mtihani mgumu kwa kila mmoja kujitafakari na kuona tulipotoka ,tulipo na tuendako! Binafsi nimelipenda kwakuwa linaleta changamoto. Yawezekana yako ilitolewa mapema mno sasa usimkasirikie muuliza swali. Mdau mmoja kanifurahisha pia kwa kusema kama wewe ungekuwa Yusuph je Bikira ya Maria Ingebaki??

Turuji kwenye Thread mimi nasema "Ingekuwa ngumu!!"
 
Kwa tamaduni ya Waaramaic watu wakiisha kuwa kwenye uchumba wanakuwa katika kipindi cha ubikra, kwa hiyo Mary alikuwa bikra kwa maana ya kuwa katika kipindi cha kusubiria kuolewa na siyo bikra kwa maana ya penetrative sex or whatsoever. Kwa hiyo ieleweke kuwa kwa tamaduni zao mtu kuwa bikra ilikuwa siyo kuwahi kukutana kimwili na opposite sex bali katika kipindi cha uchumba, ndiyo maana kwa Mary kupata ujauzito ilikuwa ni aibu kwa Joseph kwani ilikuwa ni karibu ya yeye kuolewa. Hii ina maana kwamba hata watu waliokuwa wachumba walikuwa ni mabikra. Naona mkanganyiko kuhusu dini na Bible kwa ujumla ni kutokana na kwamba Yesu aliongea kiaramaic, bible ikaandikwa kwa kiebrania ikatafsiriwa kigiriki kisha kirumi/kiingereza/kijerumani na ikaja kwa kiswahili, kwa hiyo uwezekano wa maana kupindishwa kidogo unakuwa mkubwa.
 
Back
Top Bottom