Swali!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Ukiambiwa kesho ni mwisho wa maisha yako,halafu ukaambiwa umfanyie mmeo,mkeo,mpenzio kitu kizuri sana,utamfanyia nini?
 
mie nitamuua...ili wengine wasipate raha niliyokuwa napata mie
 
Kwa kweli sina jibu, maana we enjoy each other's company as if hakuna kesho... kila siku ni full speed!
 
Hivi unaweza kufanya kitu gani chema au kizuri unapokuwa umehukumiwa adhabu ya KIFO?
 
Ukiambiwa kesho ni mwisho wa maisha yako,halafu ukaambiwa umfanyie mmeo,mkeo,mpenzio kitu kizuri sana,utamfanyia nini?


Eiyer kesho ni mwisho wa maisha yako,unataka umfanyie nini mkeo,mpenzio kabla ya iziraeli kukamilisha kazi yake kwako??????????.
 
Mamdenyi,sina mpenzi wala sijaoa,hilo ni swali kwenu mlionao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…