Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiambiwa kesho ni mwisho wa maisha yako,halafu ukaambiwa umfanyie mmeo,mkeo,mpenzio kitu kizuri sana,utamfanyia nini?
Kama uliishi maisha yako vipaswavo huogopi kifo... (Psalm 23:4)Hivi unaweza kufanya kitu gani chema au kizuri unapokuwa umehukumiwa adhabu ya KIFO?
mie nitamuua...ili wengine wasipate raha niliyokuwa napata mie