Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
-
- #21
Sajenti unanichekeshe sana kiasi na kulia kucheka kwangu unasema kuwa huyu Mgambo ni "msukule" wa Waarabu wenye kituo cha mafuta ndio anayewaletea wateja... :becky::becky::becky: sajenti unanivunja mbavu zangu kasheshe kweli Waarabu nao pia wanao "msukule"?:becky::becky::becky:...Na kwa jinsi anavyojishughulisha pale kuelekeza magari lazima achoke. Makonda wa daladala walimpachika jina "msukule" wa waarabu wenye kituo cha mafuta ndio anayewaletea wateja...:becky::becky:
Jamani hii picha ilikuwepo humu kabla hata ya mwezi huu wa Ramadhani?
Sio kweli huyu hajafunga mbona kuna chupa tupu ya pespi pembeni? amechoka ama ni yale yale ya uzembe kazini!!
huyu ni mjomba wa mwana JF ndugu yetu MS.