Swaumu inapozidi

Swaumu inapozidi

...Na kwa jinsi anavyojishughulisha pale kuelekeza magari lazima achoke. Makonda wa daladala walimpachika jina "msukule" wa waarabu wenye kituo cha mafuta ndio anayewaletea wateja...:becky::becky:
Sajenti unanichekeshe sana kiasi na kulia kucheka kwangu unasema kuwa huyu Mgambo ni "msukule" wa Waarabu wenye kituo cha mafuta ndio anayewaletea wateja... :becky::becky::becky: sajenti unanivunja mbavu zangu kasheshe kweli Waarabu nao pia wanao "msukule"?:becky::becky::becky:
 
Saumu wapi, huyo alikesha kwene mipombe isiyopimwa na tbs
 
Sio kweli huyu hajafunga mbona kuna chupa tupu ya pespi pembeni? amechoka ama ni yale yale ya uzembe kazini!!



hiyo chupa ya pespi siyo tupu; ina KONYAGI ORIJINO angalia vizuri!!!
 
huyu ni mjomba wa mwana JF ndugu yetu MS.
 
Atakuwa anafanya kazi kampuni mbili....mchana Ultimate Security....usiku Group 4
 
Back
Top Bottom