Half London
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 261
- 112
Miaka ya 2000 tamthilia ya Kaole walikuwa wako juu sana. Wengi bado tunawaona kwenye movie na tamthilia. Lakini kijana aliyekuwa anaigiza kama muhuni na mwizi,rafiki yake na Swebe sijawahi kumwona kwenye igizo wala movie yoyote tena. Yuko wapi wadau?