Swebe wapi Jerry?

Swebe wapi Jerry?

Half London

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
261
Reaction score
112
Miaka ya 2000 tamthilia ya Kaole walikuwa wako juu sana. Wengi bado tunawaona kwenye movie na tamthilia. Lakini kijana aliyekuwa anaigiza kama muhuni na mwizi,rafiki yake na Swebe sijawahi kumwona kwenye igizo wala movie yoyote tena. Yuko wapi wadau?
 
Na kweli hata mimi sijamuona Jerry. Alikuwa ananyoa panki fulani hivi kama askari.
 
Hahahahaaa....huyo huyo broh. Alikuwa na kina Ben.Jerry kuna igizo aliiba cheni. alichezea kichapo.

Itakuwa ni lile igizo ameigiza sijui ni yeye au kaka yake alitoka South Africa halafu mdogo mtu akawa anachezea hela zake.

Jamaa alikuwa anajua sana.
 
Old is Gold. Hakuna wasanii walikuwa watiifu kama wa kipindi kile. Ndiyo maana wengine bado wanaigiza lakini hawana scandal za ajabu ajabu.
 
Jamaa aliiba cheni, alivyoona kimenuka akaimeza.

Alichapwa kipondo mpaka akaitapika.
 
Miaka ya 2000 tamthilia ya Kaole walikuwa wako juu sana. Wengi bado tunawaona kwenye movie na tamthilia. Lakini kijana aliyekuwa anaigiza kama muhuni na mwizi,rafiki yake na Swebe sijawahi kumwona kwenye igizo wala movie yoyote tena. Yuko wapi wadau?
Huyu jamaa nilijuaga ni Mwizi kweli. Kama amekua teja Swebe amuokoe mshikaji wake.
 
Back
Top Bottom