Half London
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 261
- 112
Hahahahaaa....huyo huyo broh. Alikuwa na kina Ben.Jerry kuna igizo aliiba cheni. alichezea kichapo.Na kweli hata mimi sijamuona Jerry. Alikuwa ananyoa panki fulani hivi kama askari.
Bado anaigiza? Anafanya harakati gani hapo Contena?Njoo kontena bar mabibo hostel kuanzia sa mbili usiku utamwona, uje na hela ya bia
Hahahahaaa....huyo huyo broh. Alikuwa na kina Ben.Jerry kuna igizo aliiba cheni. alichezea kichapo.
Njoo kontena bar mabibo hostel kuanzia sa mbili usiku utamwona, uje na hela ya bia
Bado ananyoa panki?
Akija Geita anitafute anywe bia.
Siku iz ananyoa kama pogba
Huyu jamaa nilijuaga ni Mwizi kweli. Kama amekua teja Swebe amuokoe mshikaji wake.Miaka ya 2000 tamthilia ya Kaole walikuwa wako juu sana. Wengi bado tunawaona kwenye movie na tamthilia. Lakini kijana aliyekuwa anaigiza kama muhuni na mwizi,rafiki yake na Swebe sijawahi kumwona kwenye igizo wala movie yoyote tena. Yuko wapi wadau?