Habari nzuri kama hii ukiiunganisha na chanzo chake inakaa poa sana
Nikaishi huko sasa.swedeni na Norway pesa kwao sio shida hizo uero 109m ni chache
ni inchi ambazo hakuna tajiri wala maskini
vipato vyao vipo saw no gape
Hajaweka tu chanze, ila ni habari ya kweliHabari nzuri kama hii ukiiunganisha na chanzo chake inakaa poa sana
Walichelewa sana kulijua hiliMwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni.
Wamegundua kuwa matumizi ya computer kama mbadala wa vitabu unawacosha wa toto na kuondoa ubunifu hivyo wameamua kurejesha matumizi ya vitabu vilivyochapishwa darasani.
Wanadai vifaa vya kidijitali kuna wakati vinawafanya wanafunzi wapoteze uwezo wa kuzingatia badala ya kusoma wanachotakiwa wanahamia kwenye michezo na vitu vingine.
Hakuna sehemu nimesema hii habari ya uongo, nilihitaji chanzo kwa ajili ya kujisomea kiundani zaidi,Hajaweka tu chanze, ila ni habari ya kweli
In 2009, Sweden Replaced Books with Computers—15 Years Later, It’s Investing €104 Million to Reverse the Decision - Belles and Gals In 2009, Sweden Replaced Books with Computers—15 Years Later, It’s Investing €104 Million to Reverse the Decision - Belles and GalsHakuna sehemu nimesema hii habari ya uongo, nilihitaji chanzo kwa ajili ya kujisomea kiundani zaidi,