Sweden: Waandamanaji wachana chana Quran hadharani, Ubalozi wa Sweden Baghdad wachomwa moto

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Waandaaji nchini Sweden wachana chana Quran na kupiga teke Quran hadharani jana siku ya Alhamisi, tarehe 20 July 2023.

Waandamanaji hao walitishia kuichoma Quran lakini baadae wakaahirisha na kuchana chana quran hadharani.

Hatua hiyo imepelekea mabaloxi wa Sweden kuitwa na kuhojiwa kwenye nchi nyingi za kiislamu. Ubalozi wa Sweden umechomwa moto nchini Iraq.

Kumbuka siku ya Idd raia wa Iraq anaeishi Sweden alichoma Quran hadharani nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm.

Soma hapa.
 
Jamaa wanazema wana mpango wa kuichoma hivi karibuni tena huko Sweden
 
Nikiwaza sana"Wanadamu no matter how civilized they are,bado Kuna ile hali ya kuwaza kimbuzi ambayo inatutenga mbali sana Kwa point compare to high beings.Sasa mtu mzima na pumbu zake anaenda kuchukua kitabu anachojua fika mwenzake anaamini kuwa ni kitakatifu,na kukichoma moto.For what?Upumbavu tu hasa wazungu ndio wapuuzi kweli kweli.
 
kabisa yaani, nao ukiwaambia waache kufirana wanaaandamana tena hawataki kabisa wanakwambia haki ya binadamu, Myaazimgu aingilie kati tu hao kamerun.
 
Nikiwaza sana"Wanadamu no matter how civilized they are,bado Kuna ile hali ya kuwaza kimbuzi ambayo inatutenga mbali sana Kwa point compare to high beings.Sasa mtu mzima na pumbu zake anaenda kuchukua kitabu anachojua fika mwenzake anaamini kuwa ni kitakatifu,na kukichoma moto.For what?Upumbavu tu hasa wazungu ndio wapuuzi kweli kweli.
Hao unawaita wapuuzi.

Unatumia bando lao.
Unatumia signals kutoka kwao.
Website Yao.
Simu zao.
App zao.

Yaani hakuna unachomiliki , Kila kitu pamoja na ubunifu unatoka kwao. Alafu unasema wazungu ni wapumbavu? Sema baadhi sio wote.

Ukitaka kuwasema ni muda watu waanze kubuni vitu vyao wenyewe lasivyo mpumbavu utaonekana wewe.

Ni kweli wamezingua sana tena sana ila nasubiri kuona impact, naona kutakuwa na terrorism ya kutisha Ulaya.
 
Waandaaji nchini Sweden wachana chana Quran na kupiga teke Quran hadharani jana siku ya Alhamisi, tarehe 20 July 2023.

Waandamanaji hao walitishia kuichoma Quran lakini baadae wakaahirisha na kuchana chana quran hadharani.

Hatua hiyo imepelekea mabaloxi wa Sweden kuitwa na kuhojiwa kwenye nchi nyingi za kiislamu. Ubalozi wa Sweden umechomwa moto nchini Iraq.

Kumbuka siku ya Idd raia wa Iraq anaeishi Sweden alichoma Quran hadharani nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm.

Soma hapa.
Ni magaidi hao,hawana akili,wamechana karatasi Qur'an iko pale.Ndio ukaona waislamu hawachani vitabu vya dini nyingine,kwa sababu wanajua hata ukichana,unachana makaratasi,vitabu viko mamilioni duniani.
 
Nikiwaza sana"Wanadamu no matter how civilized they are,bado Kuna ile hali ya kuwaza kimbuzi ambayo inatutenga mbali sana Kwa point compare to high beings.Sasa mtu mzima na pumbu zake anaenda kuchukua kitabu anachojua fika mwenzake anaamini kuwa ni kitakatifu,na kukichoma moto.For what?Upumbavu tu hasa wazungu ndio wapuuzi kweli kweli.
Na ni upumbavu,zile ni karatasi,hata uchane ngapi,bado ziko mamilioni na kila siku,zinachapishwa mpya.
Huwezi waislamu hata siku moja,wanapoteza mda kuchana vitabu vya dini nyingine.
 
Hao unawaita wapuuzi.

Unatumia bando lao.
Unatumia signals kutoka kwao.
Website Yao.
Simu zao.
App zao.

Yaani hakuna unachomiliki , Kila kitu pamoja na ubunifu unatoka kwao. Alafu unasema wazungu ni wapumbavu? Sema baadhi sio wote.

Ukitaka kuwasema ni muda watu waanze kubuni vitu vyao wenyewe lasivyo mpumbavu utaonekana wewe.

Ni kweli wamezingua sana tena sana ila nasubiri kuona impact, naona kutakuwa na terrorism ya kutisha Ulaya.
Ni wajinga tu.Unachana vi
tabu,vinavyochapishwa mamilioni ya vitabu kila siku.Kama sio ujinga na ugaidi ni nini.
 
Hao unawaita wapuuzi.

Unatumia bando lao.
Unatumia signals kutoka kwao.
Website Yao.
Simu zao.
App zao.

Yaani hakuna unachomiliki , Kila kitu pamoja na ubunifu unatoka kwao. Alafu unasema wazungu ni wapumbavu? Sema baadhi sio wote.

Ukitaka kuwasema ni muda watu waanze kubuni vitu vyao wenyewe lasivyo mpumbavu utaonekana wewe.

Ni kweli wamezingua sana tena sana ila nasubiri kuona impact, naona kutakuwa na terrorism ya kutisha Ulaya.
Hapa umeandika nini?! Bando limehusikaje hapa
 
Ni magaidi hao,hawana akili,wamechana karatasi Qur'an iko pale.Ndio ukaona waislamu hawachani vitabu vya dini nyingine,kwa sababu wanajua hata ukichana,unachana makaratasi,vitabu viko mamilioni duniani.
Sasa maandamano na fujo na kuchoma balozi za sweden kwenye nchi za kiislamu yanatoka wapi kama ukichoma unachoma makaratasi?
 
Ndio ujuwe hivyo,waislamu hawa pigwi shavu la kushoto

,wakakupa la kulia uwapige,wao wanafuata maneno ya Yesu kwa vitendo,ili wapate uzima wa milele:
Yesu anasema
"Msidhani nimekuja kuleta amani duniani,sikuja kuleta amani,bali upanga"
Matthew 10:34-36
Kasema tena "Bwana mtu wa vita"
Kutoka 15:3
Ndio ukaona hawakwenda kuchoma vitabu vya dini nyingine wala kuchoma nyumba za ibada za dini nyingine,wamekwenda kunakohusika.
 
kwa kweli biblia sio quran. sio kila mtu akisoma, ataelewa. YESU akupigana na yeyote. na aliposulubiwa aliwasamehe. alafu usichanganye mada. siku nyingine ukiongelea uislam, TUMIA QURAN. HAUWEZI kutumia katiba ya TZ, nchini kenya(ni mfano)
 
Hivi ma ayatollah wa siku hizi hawatangazi fatwa kama yule ayatollah khomein alemtangazia mwandishi wa kitabu cha aya za shetani? Qur an siku hizi inafanyiwa chochote wala hawatoi fatwa. Au hasira zao zinaishia kuchoma ubalozi wa nchi ilikodhihakiwa qur an? Anyway wale jamaa wa NWO itakuwa hii ndio kazi yao kuleta taharuki duniani. Wakati dunia iko kwenye taharuki ya kuchwanachanwa qur an wao watakuwa bize kuibuka na jambo jipya duniani kutekeleza agenda zao za siri
 
Back
Top Bottom