Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Mmeshaambiwa kuwa Corona Virus vinaenea kwa njia ya hewa kupitia pua zenu na midomo. Kuvaa barakoa (faces masks) kunazuia uwezekano wa kuambukizana hasa inapotokea mtu anapiga chafya au kukohoa.
Jambo hili mnahitaji kuelezwa na nani kuwa masks zinaweza kuzuia maambukizi?? Mnasubili prof Lumumba aje awaeleze hapo Lumumba ndiyo mtaelewa??
Damn!!!!!!
Jambo hili mnahitaji kuelezwa na nani kuwa masks zinaweza kuzuia maambukizi?? Mnasubili prof Lumumba aje awaeleze hapo Lumumba ndiyo mtaelewa??
Damn!!!!!!