#COVID19 Sweden yapinga ushahidi kuwa kuvaa barakoa kunapunguza covid 19

Mmeshaambiwa kuwa Corona Virus vinaenea kwa njia ya hewa kupitia pua zenu na midomo. Kuvaa barakoa (faces masks) kunazuia uwezekano wa kuambukizana hasa inapotokea mtu anapiga chafya au kukohoa.

Jambo hili mnahitaji kuelezwa na nani kuwa masks zinaweza kuzuia maambukizi?? Mnasubili prof Lumumba aje awaeleze hapo Lumumba ndiyo mtaelewa??

Damn!!!!!!
 
niwe na wasi wasi gani? kuna free service duniani?
hao unao waita big pharma, ndio hao hao tumekuwa tukinunua madawa kutoka kwao miaka na miaka, vifaa tiba kwao, mpaka mafunzo ya utabibu.
miaka yote hiyo hatujawahi hofia,why leo?

corona si ugonjwa kama magonjwa mengine?
 
miaka yote hiyo hatujawahi hofia,why leo?
Miaka ya nyuma hao jamaa walikuwa kiasi fulani hawajaona kama afya ya binadamu ni bidhaa ya kutengeneza faida pia ni nyenzo ya kuwafanya wasio wataka wakuwazidi wawe submissive kwao! Leta swali lingine, mkuu. Ni bampa kwa bamba leo! Ha ha haaa
 
yoo man . chill brother. hawa jamaa hata uwapigie kelele vip. hawato elewa.

hili tatizo lilitumika kama ngazi ya kisiasa na kupatia kura, leo hii. sasa leo lime backfire.. wanaogopa kukiri kuwa ipo maana itawachafua kisiasa.. wataonekana walifanya usanii.

only way ni ku distract wananchi, au kuamini vitu vya ajab ajab.

na ndicho kinachotokea sasa
 
Mmh sidhani kama nchi hii kuna aliyepinga matumizi ya mask, naamini hayupo isipokuwa kilichotelewa tahadhari ni matumizi ya mask kutoka nje ya TZ ndio maana MSD wanauza zilizozalishwa hapa kwetu.
 
Nchi zilizoendelea kuna vijarida vya mtaa kwa mtaa wanapewa bure huko kuna habari Kama za hizo nyingi mno mimi siwaelewi mkiambiwa kitu hata kama mkiona kina makosa akili yenu inakataa kuwaambia ukweli Hilo nalo linahitaji sayansi ipi kweli ?

Ina maana tabloids hazina udhibiti?
 
Mmh sidhani kama nchi hii kuna aliyepinga matumizi ya mask, naamini hayupo isipokuwa kilichotelewa tahadhari ni matumizi ya mask kutoka nje ya TZ ndio maana MSD wanauza zilizozalishwa hapa kwetu.

Wale wapinzani wanageuza maneno kwa namna wanayoona wao inafaa.
 
Wa
Hivi kujifukiza kunasaidia nini? Kuna video moja nimeona wanajeshi wanalazimishwa kuingia kwenye chumba cha mafusho
Ni kweli wamelazimishwa?
 
Jeshini hamna hiari, umeenda jeshini wewe au unaleta u machi nooo wa JAMIIFORUMS?
Mimi nimeuliza swali. U much know nimeuonyesha wapi?
Acha ubabe, ungenijibu kistaarabu ingetosha. Kuku wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…