#COVID19 Sweden yapinga ushahidi kuwa kuvaa barakoa kunapunguza covid 19

Ubishi wao kama wengi ndani ya USA ndiyo umesababisha maambukizi na vifo kuwa na idadi kubwa ukilinganisha na Denmark na Norway. Hawa hata socia distancing walipinga mwanzoni baadaye wanasema walifanya makosa makubwa sana.

Ugonjwa unaambukizwa kupitia pua na mdomo haihitaji kuwa na Phd ili kujua jinsi ya kupunguza maambukizi.

Umesoma hii sentensi na ukaielewa, pia fuata link iliyopo

" The municipality eventually backed down" acheni upotoshaji mnazidi kuua watu.
 
Debate ya mask aside. Size ya virus ni ndogo kuliko matundu ya barakoa. Virus akitua juu ya barakoa ukivuta hewa si ataingia kupitia hayo matundu? Hebu niasaidiwe kuelewa hapo protection mechanism inavyokuwa.
 
Google huko kuna madini chungu nzima kutoka kwa wataalamu wa magonjwa ya kuambukiza kupitia pua na mdomo.

Kwa hiyo hapa hakuna wataalam? Mbona sasa watu kubishana vitu vya kitaalam ambavyo hatuvijui? Au ndio ile Wabongo tunajua kila kitu?
 
Wanatafuta info za wataalamu husika akina Dr Fauci etc kama kungekuwa na Wataalamu si tungewasikia wakimwaga utaalamu wao kuhusu barakoa na research walizozifanya wangetuwekea hapa na conclusion zao.

Dr. Fauci huyu huyu anayebadilika kama kinyonga? Fauci ni daktari mtaalam aliyeamua kulitumikia tumbo lake.

BTW unavaa barakoa mbili mbili? Last suggestion ya Dr. Fauci ilikuwa hiyo. Hope unaifuata barabara!
 
Wewe unaona analitumikia tumbo lake, lakini Serikali yake na hata WHO wameamuamini na hivyo kumsikiliza kwenye ushauri wake mbali mbali katika kupambana na COVID-19.

Haikuhusu kujua kama navaa barakoa au sivai. MIND YOUR OWN BUSINESS.

Aug 22, 2008 (CIDRAP News) – It was secondary bacterial pneumonia—not the influenza virus by itself—that killed most of the millions who perished in the 1918 flu pandemic, which suggests that current pandemic preparations should include stockpiling of antibiotics and bacterial vaccines, influenza researchers reported this week.

Experts at the National Institute of Allergy and Infectious Diseases (NIAID) examined pieces of lung tissue preserved from 58 victims of the 1918 pandemic and reviewed reports distilled from thousands of autopsies to reach their conclusions, published online by the Journal of Infectious Diseases.

"Histological and bacteriologic evidence suggests that the vast majority of influenza deaths resulted from secondary bacterial pneumonia," says the report by David M. Morens, MD, Jeffery K. Taubenberger, MD, PhD, and NIAID Director Anthony S. Fauci, MD.

Hawa Bacteria walitoka wapi? Niiache kama homework ya wadau wa mada hii!

Wewe unaona analitumikia tumbo lake, lakini Serikali yake na hata WHO wameamuamini na hivyo kumsikiliza kwenye ushauri wake mbali mbali katika kupambana na COVID-19.

Haikuhusu kujua kama navaa barakoa au sivai. MIND YOUR OWN BUSINESS.
Ok, mbona basi wewe na wenzako ham mind your own business mnawashambulia wenye opinion tofauti kwenye mask as if ni majambazi wauaji? Ni vyema ukafuata ushauri wako. Mind your own business uachane na wengije whether wanavaa ama hawavai.

It's so funny inapokuja kwenye kuvaa mask mnakuwa Gestapo ila wakiguswa watakatifu wenu mnakuwa wakali kama nyuki!

Well hao WHO si ndio waliosema kwamba ugonjwa hauenezwi kati ya binadamu na binadamu?

Anyway mind your business too!
Added to ignore list!
 
Talking with both sides of your mouth about WHO and Dr Fauci without even clarifying about WHO’s statement and when it was issued or ukigeu geu wa Dr Fauci. Bye ZWAZWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…