Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Hilo sio Jambo la kushadidia km tunavyofanya ndg zangu watanzania. Kupunguza misaada kwa nchi yetu km Taifa waathirika Ni sisi watu wa chini lbdavkm anayeshabikia Ni tabaka la juu. Ni ushauri tu

Sent using Jamii Forums mobile app


Mmekua wadogoo wenyewe! Hahhha leo ninacheka tu
 
hili la kuvurugwa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa na kuipitisha wa sisiem kimabavu litatugarimu pakubwa,,mmeona kwenye maelezo ya andiko la sweden wanasema wapinzani walinyimwa haki ya kushiriki uchaguzi...

jamani stone aache ubishi ule uchaguzi feki ufutwe uchaguzi urudiwe upya!
 
Boss rudi nyumbani kumeshanoga. Hawa mabeberu NI upepo tu nao utapitamo.
Tulibishana na mshkaji wangu Kasoro turudi tusirudi.

Mshkaji karudi.

Sasa hivi maisha yanaenda resi huko mpaka anataka kurudi huku tena.

Mimi nina biashara zangu huku, nyumba etc kurudi kirahisi rahisi siwezi.

Halafu kurudi nikifikiria kuamrishwa na Makonda tu nachoka hapo hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatutaki misaada yao sasa, Tanzania nchi tajiri sana iliyobarikiwa kila kitu. Tutachimba dhahabu zetu na kuziuza, tutalima maeneo yako mengi sana hawa mabeberu watuache kabisa. Hizi ni figisu za mabeberu baada ya kuona Jemedari wetu Dr JPM amewabana kwenye mianya yao ya unyonyaji sasa wanatapatapa.. Go Go President Dr Magufuli.
 
Misaada ikizid kukatwa watz watatoka usingizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…