HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Venezuela ana dhahabu nyingi kuliko Tz. Ana mafuta Mengi kuliko Iran ila hauzi popote maana hakuna wateja sababu ya vikwazo.Hatutaki misaada yao sasa, Tanzania nchi tajiri sana iliyobarikiwa kila kitu. Tutachimba dhahabu zetu na kuziuza, tutalima maeneo yako mengi sana hawa mabeberu watuache kabisa. Hizi ni figisu za mabeberu baada ya kuona Jemedari wetu Dr JPM amewabana kwenye mianya yao ya unyonyaji sasa wanatapatapa.. Go Go President Dr Magufuli.
Iran ana mafuta ila hana mteja
Sent using Jamii Forums mobile app