Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Sweettablet, akili za wapi hizi, kwa nini akili zenu azina akili. Wenzio wanaongelea muelekeo wa nchi wewe akili imenasa Magufuli ashinde uchaguzi. Kwa nini ujiamini.
Nchi kwa kwanza. Tanzania bila ya Magufuli inawezekana.
 
wapunguze tu ,maaana katika kila dola moja wanayotupa huwa wanatuibia saba.
 
Hivi kwani serikali ya sasa inategemea wafadhili?
[emoji3]
Jibu ni hapana. Hata sisi ni matajiri na hivi karibuni tutaanza kutoa misaada kwa wenzetu ambao hawajiwezi, yaani kwa lugha yao hao mabeberu sisi ni "donor country" na wala wasitutishe.
 
Sasa hivi yanakwenda mkuu? Una uhakika Kwa Kabendera maisha yanakwenda? Kwa Rugemalira na familia yake yanakwenda?

Nadhani maisha yalishasimama Kwa wengi mkuu, waulize watumishi wa umma pamoja na wafanyakazi/viongozi wa vyama vya siasa kama.maisha bado yanaenda. Nadhani ungesema unahofia kwako yasije simama, Ila Kwa Ben Saanane yalishasimama muda Tu.
Tusifurahie jamani, kwa sisi watu wa chini maisha yanaenda kusimama!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani watuhurumie😭😭😭😭
Nchi tajiri ya Magogoni...Ila sisi wananchi wa Mbagala maskini...
Jamani beberu ananuka ila nyama yake tamu.....


Everyday is Saturday..................😎
 
Dhana ya ujamaa na kukitegemea ndio inaeleweka vizuri sasa haya mapimbi yanapush kwa nguvu zote sera zao za ulawiti kisa vimisaada vyao hii gay agenda inaenda hand to hand na new world order japo sikubaliani 100% na serikali ya ccm ila misaada sasa inatumika kama fimbo
 
Weledi wa juu unahitajika[emoji86]

maji ya shingo haya..

Ajabu mpaka sasa hamna tamko lolote kutoka serikalini[emoji5] Au mpaka kesho
 
Back
Top Bottom