Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,245
Nawaambia viongozi. Ila kimoyo kimoyo naogopa kununua mkate mmoja shilingi elfu kumi. Zimbabwe hii hapa naiona. Mungu atunusuru na hili janga.Hii tabia yako ya kuji exclude, eti tuwaone! Utadhani upo Congo huko jimbo la Kivu 😍 😍 😍