Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Kutoka maktaba: Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na viongozi wa Upinzani Tanzania kwa Mazungumzo na kuangalia hali ya kisiasa nchini

Msimamo wa Sweden ukielezewa na waziri Peter Eriksson kuhusu haki za binadamu na uhuru wa kujieleza kwa visingizio cha 'Uzalendo' na kuwabatiza wenye mawazo mbadala 'wasaliti'


13 May 2019
Minister for International Development Cooperation Peter Eriksson talks about the most important political issues during this electoral period and what changes he wants to see.
Source: Regeringskansliet
 
IUOTE="britanicca, post: 34267097, member: 290488"]
Sweden nao wameamua kujiridhisha pasina shaka kuwa Tanzania kuna Uminywaji wa haki za Binadamu na kupunguza misaada kwa Miaka mitano ijayo, maana yake Mpaka 2026 ambapo uwenda Magufuli akawa anatoka madarakani

Nadhani baada ya Zitto kumaliza barua kwa USA sasa hii imeandikwa na Kiranga
Source: Sverige sänker biståndet till Tanzania - Nyheter (Ekot)

Britannica

=========

Full story in English:

Sweden cuts aid to Tanzania

Published Saturday, February 1st, 2020

Sweden will reduce its assistance to Tanzania in the next five years. The government has decided this on the grounds that Tanzania has a negative development in terms of human rights and democratic space.

The aid will decrease by one quarter from SEK 800 million to SEK 600 million per year.

- We will reduce aid to Tanzania. We have been a major player in the country for many years, as a partner country, but developments in recent years have gone in the wrong direction. Shrinking democratic space, tougher grip on LGBT people and human rights, and also shrinking space for journalists, says Deputy Minister Peter Eriksson.

Ever since the 1960s, Tanzania has been one of Sweden's largest aid countries. But now the government has decided on a one-quarter reduction to SEK 600 million per year over the next five-year period.


The background is, among other things, that a dozen media companies have been shut down, inconvenient journalists and human rights activists are being imprisoned, and in local elections the regime countered opposition candidates.

Peter Eriksson visited Tanzania last year and criticized the President and the Prime Minister, among others.

- Unfortunately, I must say that it has not helped. Without us, we have made demands and the answers have not matched what we had hoped for, so that means we have to decide on a reduced effort in Tanzania, and above all, to reduce the efforts towards the state, says Peter Eriksson.

The new strategy provides support to organizations working for increased democracy, human rights and free media. In addition, the work for biodiversity and environmental assistance is being strengthenedView attachment 1344118

Assistance to Tanzania is thus reduced by one quarter. But the needs remain great and Sweden does not want to lose the knowledge and skills that exist, for example, in school education, says Peter Eriksson. But if the development goes even more wrong, aid can be stopped.

- We take strategies that are on a five-year perspective, but we can also change in the meantime. So that development would be tougher and harder and more negative then it is possible to change also during these five years, it is also important to remember. Although the intention is that Sida and other aid organizations should be able to plan their operations, says Peter Eriksson.

[/QUOTE]
I wish swift and stern measures were taken immediately so as to drive home the point the sooner. The Government is too big headed.
 
Nyie mnateseka bure miaka minne tulipunguziwa misaada na tumetomoa lengo kuu ni kujitegemea sisi sio masikini jamani
 
Noma sana

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Lissu na Zitto ndo wametuchongea Sweden. Wasaliti hawa wanastahili kuuawa
Endeleeni tu kujiweka uchi na akili zenu zilivyo na matope. Wenzenu saivi wanaendelea kusoma comments zenu humu ili kukusanya ushahidi.
 
Kutoka Maktaba:
August 19, 2019

Dr. Wilbroad Slaa : Mabalozi tunapata wakati mgumu

Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dr. Slaa amesema wanapata wakati mgumu kuitetea nchi au kuvutia wawekezaji na wadau wa maendeleo

 
Sometimes to teach a naughty kid lessons you have to withdraw your support towards zero... And if need be due to deteriorating situations and gross naughtiness you are at a liberty to give him zero support!!
Please keep on with the tough love!🤣🤣🤣
 
Hiyo sek 200 million ni sawa na billion 48 tsh tunaikosa, kweli tunakosa maarifa.
 
Hizo dhahabu wachimbaji ni mabeberu,wachimbaji wadogo wakishachimba bado wanawauzia mabeberu hata serikali ikizipata inawauzia maebeberu.
ARV mabeberu
Bajeti mabeberu
Kompyuta,simu,mashine nk vyote vya mabeberu....hatuna namna ya kuwaepuka mabeberu,tumeshikwa korodani
Hatutaki misaada yao sasa, Tanzania nchi tajiri sana iliyobarikiwa kila kitu. Tutachimba dhahabu zetu na kuziuza, tutalima maeneo yako mengi sana hawa mabeberu watuache kabisa. Hizi ni figisu za mabeberu baada ya kuona Jemedari wetu Dr JPM amewabana kwenye mianya yao ya unyonyaji sasa wanatapatapa.. Go Go President Dr Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu tupate Uhuru hii misaada imetusaidia nini zaidi ya kutudidimiza? SGR, Umeme wa bonde la Nyerere, daraja la busisi mwanza (3.5km), mwendokasi hadi kibaha n.k. tunajenga kwa hela zetu! Wanadhani kwa kutunyima misaada hii miradi itakufa! Hii miradi haitakufa tutaikamilisha kwa fedha zetu!
 
Hilo sio Jambo la kushadidia km tunavyofanya ndg zangu watanzania. Kupunguza misaada kwa nchi yetu km Taifa waathirika Ni sisi watu wa chini lbdavkm anayeshabikia Ni tabaka la juu. Ni ushauri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamshauri Magufuli aache ubabe,hauna tija kwetu Watanzania wala kwa yeyote.
Hivi akiongoza mtanzania yeyote Magufuli na CCM yake watapata madhara gani!!?
 
Back
Top Bottom