Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Tusifurahie jamani, kwa sisi watu wa chini maisha yanaenda kusimama!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hata ukinuna itasaidia nini wakati tuliowachagua ndio wametufikisha hapa??!! Iwe hivyo tu akili zituingie kwani njaa ndio huleta ubunifu, lisu aliyaona haya maoema sana!! Leo wanataka eti zitto na lisu ndio waonekanechanzo cha haya!!!! SIASA ZA KIBABE SIO KWA DUNIA YA SASA!! YAANI MIAKA YA LEO KIONGOZI ANALETA SIASA ZA KINA BOKASSA!!! AACHWE TU!!!
 
Endeleeni hivyo hivyo
 
Pamoja na kutoshabikia kihivyo mambo ya hawa weupe, inasikitisha.
Ule usemi kwamba WENGI WAPE hata kisayansi unakubalika. Events frequently observed huelekea kwenye NORMAL DISTRIBUTION (variance zero, density 1) yaani N(0,1). Sauti ya wengi inapelekea USAHIHI kwenye jambo lisemwalo.

Kitabu cha Baba wa Taifa - TUJISAHIHISHE- kimesheheni MAUDHUI ambayo ni very relevant katika process ya kusahihisha hayo yanayokemewa na sauti za wengi kipindi hiki. They cannot be wrong.
 
Tutakunywa supu ya dhahabu? Wao ndio wanunuzi na wapanga bei za dhahabu.
 
Slaa hajawahi kusaidia zaidi ya lawama eti wapinzani tunachochea
 

Halafu utasikia “Mabeberu”!

Fvck these ccm cochroches!

They never learn!
 
Dr. Slaa alitema mate angani.
Nahisi siku si siku ataonekana hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…