Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Najua kwa sasa Nay Wa Mitego ndiyo hot cake kwa wapinzani. Yeye na Roma ndio wasanii pekee upande wa mainstream ambao wamekuwa na uwezo wa kuzungumzia yale mambo yanayoendelea nchini.
Soma pia: Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?
Nay wa Mitego recently, ametoa wimbo wake unaoitwa Nitasema ambao ofcourse umezungumzia mambo ya utekaji na mengineyo yanayoendelea. Lakini swali la kujiuliza ni je nyimbo zake zina impact yoyote?
Na ili kuweza kujibu swali hilo ni lazima tujiulize maswali yafuatayo:
1. Lini serikali ilishawahi kubadilisha maamuzi yake kutokana na ngoma za Nay Wa Mitego?
2. Je ngoma aliyoitoa itawashawishi wasanii wengine kubadilisha upepo wao wa kuitetea CCM na kuanza kusemea wananchi?
3. Nay ni anakosoa au anaongelea mambo yanayoendelea? Kuna utofauti kati ya kusema watu wanatekwa (which is obvious) na kusema seikali iwajibishwe?
4. Nay ameanza kuzungumzia serikali kitambo, lini mmesikia wananchi wamechukua hatua dhidi ya serikali kwa sababu ya nyimbo za Nay?
5. Je Nay angekuwa haitwi BASATA pindi akiwa anatoa ngoma, je ngoma zake zingekuwa kubwa kama zinavyokuwa pindi akiitwa?
Haya ni baadhi ya maswali ambayo nimekuwa najiuliza kuhusu Nay Wa Mitego. I'm not saying aache kuimbia mambo yanayoendelea but anachokifanya je kina impact kwa serikali?
Nawasilisha!