Mkuu Sangarara, Mizinga noma inarudisha nyuma maendelea, Bata mwanzo mwisho
Kama unataka wa bei chee TajiriMutoto nenda pale Kimboka au Uwanja wa fisi unajibebea toto la ukweli kama la geti kali kwa bei nafuu buku 5 tu mpaka kuna kucha we unakula kila pande unageuza huku unageuza kule full burudani
Mimi kiswahili hapa kimenishinda, maana toka nione na kusikia ule wimbo albata, basi nilikuwa nafikiria kuwa kwa kiswahili cha mitaani watu wanaposema BATA wanamaanisha mwanamke hususan mwanamke mwenye makalio makubwa. lakini sasa naona watu wanatumia neno hili vinginevyo na nashindwa kuelewa hususan pale mwanamke anapotumia neno hili ilhali unajua kuwa hakusudii bata mnyama.
Nielimisheni wenzangu, kwa lugha za kisasa vijana wanaposema bata au albata wanakusudia nini hasa?
jobseeker, kula bata ni kula raha!
Mtaani kwetu umeishawaunganisha akina dada wote kwenye grid ya taifa, sasa na huku nako unataka hawa warembo wote wa JF nao uwaunganishie umeme, dogo si fresh hiyo. au kwa sababu wewe kupata ARVs siyo tatizo?
kwani Kula bata ina maanisha nini zadi ya hiyo mkuu wangu? Kama bado chenchi ipo njoo huku ujifunze maana ya kula bataNitake radhi mzee wa Seatle georgeallen, mi nimezungumzia kula bata na si vinginevyo unavyodhani.
kwani Kula bata ina maanisha nini zadi ya hiyo mkuu wangu? Kama bado chenchi ipo njoo huku ujifunze maana ya kula bata
I love you Ghafla Zinduna
Nakutumia namba yangu ya Tigo pesa kwa PM uniwezeshe nikanunue viwalo vya kula bata,
Si eti eh!
Mmwaaaah I love you for free TajiriMutoto