The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
SWIM WITH THE TIDES Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba "ogelea na mawimbi" au "yatumie mawimbi". Na ukifanya hivi utafanikiwa sana sana.
Labda tutazame mifano michache shall we ?!
MFANO 1. Wewe ni branch manager wa bank moja yenye ubia na serikali. Katika tawi lako lililo mkoa wa nyanda za juu mbali na makao makuu unatokea ujambazi na majambazi wanaiba 4.6 billions. Chap unamwita head of finance, logistics manager na surbodinate mtiifu mnaiba 1.2 billion mtaunganisha hesabu kwenye "ujambazi" ambao ni kweli umetokea. You get my point ?! Swim with the tides bro.
MFANO 2. Kuna leader anawaingilia katika michezo yenu ya utajiri wa kutupwa wa familia yako ambayo umejiwekea mizizi tangu ulipokua incharge. Sasa incharge mpya anajifanya mzalendo anakupiga pini kila pande. Mara pap unazuka ugonjwa wa kushindwa kupumua unaua watu wengi.
Huyu incharge mpya ana matatizo ya moyo kila mara anaenda kubustiwa. Umeona fursa hapa ?! Swim with the tides bro. Oyaaa swim with the tides bro, si una connection kubwa fanya mafekeche adungwe kitu alale kimya kimya watu watasema ugonjwa wa kushindwa kupumua ambao kweli upo umemundoa, swim with the tides bro.
MFANO 3. Kuna kataifa fulani ka washamba kanajifanya kukuunishia misuli wakati wewe ni nguli wa unafioso umeshawanyamazisha majenerali wake kibao ila bado haka kataifa wanajifanya wajuaji. Oyaa we si ndio nguli wa mifumo ya kieletroniki, ingilia mifumo ya taarifa za anga, control towers na aviation.
Subiri kamvua kakinyesha au kuna viukungu zuia mamasiliano ya control tower alafu wewe ndio tuma taarifa za kuruhusu safari ya kiongozi wao kupitia route yenye ukungu, wakipita huko wafinye kwa space laser angusha chopa watu watabaki wanasema ukungu ndio umeangusha chopa ya viongozi 9 wa ngazi za juu. Watu watasema ukungu "umeangusha chopa" Swim with the tides bro.
Na hayo ndio matumizi ya akili.