Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Bata gani iko Least developed country? Sisi hatuli bata sisi tunakula bata mzinga.Actually it is not a good deal..
The Swiss president ameuambia ulimwengu kuwa Kenya ina wanasiasa mafisadi ambao wameiba pesa na kuzipeleka Swiss so amekuja kuwasaidia kuzirudisha..
Hapo hamna mlichopata.. maana ni hela zenu wenyewe ambazo mlizipoteza..
Tanzania amekuja kutalii na kutumia hela.. watoto wa mjini tunasema amekuja kula bata.
So in short mmedhalilishwa tu kuonyesha dunia huko kwenu kumejaa ufisadi na Tanzania ndio mahali sahihi pa kula bata.