Sijui nilireport hili kwa kwa nani ila naamini wapo wasafiri wengi wana weza kunisaidia;
Kwa wasio jua Swisport, hili nishirika kubwa sana duniani la kutoa huduma mbalimbali kwenye viwanja vya ndege..mojawapo ikiwa ni kuangalia/kupokea mizigo hasa ila ile inayo baki nyuma (haikuja na ndege husika
ikifika saa tatu usiku hawapokei tena simu, mara nyingine huizima kabisa; wakati shirika limejiandikisha kuwa wanafanya kazi 24hrs. Wangeweka Bango pale nje kuwa Swissport JRO mwisho wa kuhudumia watu ni saa mbili usiku hakuna mtu angewasumbua!