Sylivia Mulinge shouldn't be allowed to work in Tanzania, Hire a Tanzanian Instead.

Not her potential, but the telecom company has signed an agreement with her, something which is haunting them.

You can't sign an agreement before work permit, normally one is nominated for a position, then a work permit is issued after and application, before finally getting a residence permit.
Sasa Voda watamsubiri tu maana kwa ushindani wa mitandao ya simu lazima waongozwe na akili kubwa sio na watu wapenda mdebwedo.
 
Sio siri jombaa huyu Sylvia Mulinge ni akili kubwa. Yaani kazi inamngoja tu, 4 months! Au hiyo kwa Tanzanian time ni wiki nne tu? Kuna watu hawako serious kabisa, wanapoteza tu mda na mali. Wamnyime tu hiyo work permit, kuna kampuni nyingi kubwa zaidi ya Vodacom huku Kenya na zinahitaji sana utaalamu wa kikenya.
 
Hayo matusi ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda majigambo yenu humu! Lets see if someone mistress will assume her post at Vodacom!
 
Napenda majigambo yenu humu! Lets see if someone mistress will assume her post at Vodacom!
Asipate ndio point yangu. Kama Vodacom wanamfata hivi inaashiria wazi kwamba hii ni 'brain-drain' kwa nchi yetu ya Kenya. Kampuni za kikenya zinahitaji watu kama kina Sylvia Mulinge. Tutaona atanyakuliwa na kampuni gani.
 
Tunaepusha watoto wetu kugongwa mabarabarani maana ni drink driving personality.
 
Hayo matusi ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wapi haswa nimetusi, maana nimesema Vodacom imewalazimu wang'ang'anie kumsubiri hata kama itachukua muda gani, maana nia yao ni kuongozwa na akili kubwa, hawataki wapenda mdebwedo au watu wazembe wazembe maana makampuni ya simu yana ushindani mkubwa.
 
Kwa hio Tanzania hakuna wenye akili kubwa? Wote midebwedo sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kweli, as a country we will be losing out such a big brain, remember profit in Vodacom TZ has no impact in our country, it's of no use to us, so she is far useful back at home than serving out there.
 
Kwa hio Tanzania hakuna wenye akili kubwa? Wote midebwedo sio?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo sijui maana haileti mantiki kwanini kampuni ya Vodacom iwaruke nyote zaidi ya milioni hamsini imchague yeye na bado iendelee kumsubiri hata baada ya nyie kuonyesha kumkatalia. Nilitegemea ndani ya mwezi mmoja watakua wamefanya maamuzi ya kumtafute mwengine, lakini wamekaa wanamsubiri tu kwa hali yote ile, hadi hata mimi nimeanza kuhisi bora angebaki nyumbani awe wa manufaa kwetu.
 
Hi Jirani. Hope you're good!
Kwa kweli hii kitu Inashangaza sana.
4 months?!!

Four months! 1/3 ya mwaka Vodacom wakimngoja Sylvia? Aisee huyu madam ana potential.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very sour grapes.
How can profits be 'exaggerated' yet thousands of Kenyans who own shares receive dividends? Does Safaricom print the money?

And I guess you're new here because this is a topic we have discussed in detail.
Safaricom, which is apparently Kenya's most expensive network, is much cheaper than all your networks. Their internet bundles are the same range with your Tigo and Vodacom. But it completly blows your providers out of the water with voice charges.
Some of your networks like Airtel charge tripple what Safaricom charges for voice.
 
Ahaaa haaa haaa
Hujui ulisemalo.
The agreement got signed under condition that, employer has the obligation to settle out all permits required before commencing the job. That's why VodaCom has no where to run rather than wait.
Nina uzoefu wa kusaini mikataba ya KAZI na employer WA NCHI nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…