kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not her potential, but the telecom company has signed an agreement with her, something which is haunting them.
Sio siri jombaa huyu Sylvia Mulinge ni akili kubwa. Yaani kazi inamngoja tu, 4 months! Au hiyo kwa Tanzanian time ni wiki nne tu? Kuna watu hawako serious kabisa, wanapoteza tu mda na mali. Wamnyime tu hiyo work permit, kuna kampuni nyingi kubwa zaidi ya Vodacom huku Kenya na zinahitaji sana utaalamu wa kikenya.You can't sign an agreement before work permit, normally one is nominated for a position, then a work permit is issued after and application, before finally getting a residence permit.
Sasa Voda watamsubiri tu maana kwa ushindani wa mitandao ya simu lazima waongozwe na akili kubwa sio na watu wapenda mdebwedo.
Hayo matusi ndugu.You can't sign an agreement before work permit, normally one is nominated for a position, then a work permit is issued after and application, before finally getting a residence permit.
Sasa Voda watamsubiri tu maana kwa ushindani wa mitandao ya simu lazima waongozwe na akili kubwa sio na watu wapenda mdebwedo.
Napenda majigambo yenu humu! Lets see if someone mistress will assume her post at Vodacom!Sio siri jombaa huyu Sylvia Mulinge ni akili kubwa. Yaani kazi inamngoja tu, 4 months! Au hiyo kwa Tanzanian time ni wiki nne tu? Kuna watu hawako serious kabisa, wanapoteza tu mda na mali. Wamnyime tu hiyo work permit, kuna kampuni nyingi kubwa zaidi ya Vodacom huku Kenya na zinahitaji sana utaalamu wa kikenya.
Asipate ndio point yangu. Kama Vodacom wanamfata hivi inaashiria wazi kwamba hii ni 'brain-drain' kwa nchi yetu ya Kenya. Kampuni za kikenya zinahitaji watu kama kina Sylvia Mulinge. Tutaona atanyakuliwa na kampuni gani.Napenda majigambo yenu humu! Lets see if someone mistress will assume her post at Vodacom!
You cannot have your cake and eat it.Ahaaa haaa haaa
But those all big companies in Kenya are headed by Kenyans?
Tunaepusha watoto wetu kugongwa mabarabarani maana ni drink driving personality.Asipate ndio point yangu. Kama Vodacom wanamfata hivi inaashiria wazi kwamba hii ni 'brain-drain' kwa nchi yetu ya Kenya. Kampuni za kikenya zinahitaji watu kama kina Sylvia Mulinge. Tutaona atanyakuliwa na kampuni gani.
Sawa.Tunaepusha watoto wetu kugongwa mabarabarani maana ni drink driving personality.
Kwa hio Tanzania hakuna wenye akili kubwa? Wote midebwedo sio?Wapi haswa nimetusi, maana nimesema Vodacom imewalazimu wang'ang'anie kumsubiri hata kama itachukua muda gani, maana nia yao ni kuongozwa na akili kubwa, hawataki wapenda mdebwedo au watu wazembe wazembe maana makampuni ya simu yana ushindani mkubwa.
Sio siri jombaa huyu Sylvia Mulinge ni akili kubwa. Yaani kazi inamngoja tu, 4 months! Au hiyo kwa Tanzanian time ni wiki nne tu? Kuna watu hawako serious kabisa, wanapoteza tu mda na mali. Wamnyime tu hiyo work permit, kuna kampuni nyingi kubwa zaidi ya Vodacom huku Kenya na zinahitaji sana utaalamu wa kikenya.
Sio siri jombaa huyu Sylvia Mulinge ni akili kubwa. Yaani kazi inamngoja tu, 4 months! Au hiyo kwa Tanzanian time ni wiki nne tu? Kuna watu hawako serious kabisa, wanapoteza tu mda na mali. Wamnyime tu hiyo work permit, kuna kampuni nyingi kubwa zaidi ya Vodacom huku Kenya na zinahitaji sana utaalamu wa kikenya.
Four months! 1/3 ya mwaka Vodacom wakimngoja Sylvia? Aisee huyu madam ana potential.
All is well jirani. Hii tabia ya kukalia fence inashangaza kweli. Yaani utadhani mda ni 'dispensable' kwa watu wengine.Hi Jirani. Hope you're good!
Kwa kweli hii kitu Inashangaza sana.
4 months?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Safaricom's exaggerated profit, is as fake as that Wayne Rooney wearing turkana oil shirt in one of your colleagues avatar, that's a ploy to monopolize the market. No one will invest in communication if their rivals to-be has that much financial power. In the end it's the likes of you who suffers. We enjoy cheap services in Tanzania because no one controls the market. Do you know why fewer people are rich in Kenya while the majority of you kibera people are struggling with a single meal? rephrase what I wrote from the beginning.
You can't sign an agreement before work permit, normally one is nominated for a position, then a work permit is issued after and application, before finally getting a residence permit.
Sasa Voda watamsubiri tu maana kwa ushindani wa mitandao ya simu lazima waongozwe na akili kubwa sio na watu wapenda mdebwedo.