Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Ndio manake hutaki meza wembe.Awamu ya 5 kila kitu kinatoka ziwani
.
Hata hivyo sio miss TZ wa kwanza kutoka Mwanza kuna Genevieve
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio manake hutaki meza wembe.Awamu ya 5 kila kitu kinatoka ziwani
Sitti mtevu umenikumbusha mbali..... Ile skendo ilikuaje tena em nikumbusheYote kayataka Siti Mtemvu na kuwadi Lundenga,yaani mimi mwenyewe nimejua jana kulikuwa na miss Tanzania baada ya kuona huu uzi,yaani siku hizi Tukio la Miss Tanzania linazidiwa na event za ajabu ajabu.
Hata mie nimesikia watu wanaongea mchanaWhat?? Ndio najua mwaka huu kulikuwa na miss Tanzania kumbe.!
Alidanganya umriSitti mtevu umenikumbusha mbali..... Ile skendo ilikuaje tena em nikumbushe
www.swahili-movies.com
Hii kitu haina tena ile hype iliyokuwa nayo zamani. Kuirudisha itawachukua muda sana.Hata mie nimesikia watu wanaongea mchana
Yeah Very True mkuu.Yote kayataka Lundenga na Sitti Mtemvu shindano lilikuwa la kihuni,limepooteza mvuto bora Clouds kidogo wa brand Huyo Miss watu wamjue wampigie kura akienda Miss World.
Hiv Sitti Utemvu yupo wapi?Yote kayataka Lundenga na Sitti Mtemvu shindano lilikuwa la kihuni,limepooteza mvuto bora Clouds kidogo wa brand Huyo Miss watu wamjue wampigie kura akienda Miss World.
Sijui kapotelea wapi,hata mzee wake Abbas Mtemvu baada ya kubwagwa ubunge Temeke naye sijui kapotelea wapi.Hiv Sitti Utemvu yupo wapi?