Syllabus ya ngazi ya Cheti na Diploma kwa usajili wa NACTE inahitajika in Soft copy

Syllabus ya ngazi ya Cheti na Diploma kwa usajili wa NACTE inahitajika in Soft copy

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,025
Reaction score
494
Wadau na wanajf
Soft cpoy ya mitaala ya masomo ngazi ya cheti na Diploma kwa ajili ya usajili NACTE inahitajika.Masomo hayo yawe ya aina yoyote ya jamii ya social science ie Business related, admini, law, economics, development ,journalism etc.
Mazungumzo na kuwezeshana kwa kiasi fulani kuna wezekana.Kwa maelezo zaidi ni PM au weka cm yako utatafutwa kwa hatua zaidi.
 
Back
Top Bottom