Jamani wana JF naomba kama kuna mtu anaweza kunipatia syllabus ya ordinary level kwa masomo ya Hisabati, Chemia, physics pamoja na Biology kwa shule za Sekondary kwa hapa Tanzania.Nitashukuru sana kama kuna mwana Jf anaweza kuniwezesha kupata hii kitu. Asanteni.