Syllabus ya Ordinary level (Form IV)

Syllabus ya Ordinary level (Form IV)

Ndeshingio

Member
Joined
Jan 8, 2009
Posts
36
Reaction score
17
Jamani wana JF naomba kama kuna mtu anaweza kunipatia syllabus ya ordinary level kwa masomo ya Hisabati, Chemia, physics pamoja na Biology kwa shule za Sekondary kwa hapa Tanzania.Nitashukuru sana kama kuna mwana Jf anaweza kuniwezesha kupata hii kitu. Asanteni.
 
nenda bookshop yoyote iliyo karibu nawe,kama hupo mwanza zipo serengeti bookshop,binafsi ninayo moja ya chemistry
 
Back
Top Bottom