Symbion Power Kujenga Mtambo wa Umeme Mtwara

Symbion Power Kujenga Mtambo wa Umeme Mtwara

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Posts
4,816
Reaction score
684
Symbion Power Agrees to Build 400MW Power Plant in Tanzania

2013-02-13 | By David Malingha Doy

Feb. 13 (Bloomberg) -- U.S.-based co. reached agreement with Tanzania Electric Supply Co. to construct facility in
southern Mtwara connected by 650-km transmission line to the national grid in Songea, Symbion says in e-mailed statement.

* Financing may come from U.S. govt agencies including the U.S. Export-Import Bank and Overseas Private Investment
Corp., Symbion CEO Paul Hinks says, according to statement
 
hawa symbion ndio bomu ... hatari... si tunaona inavyoikamua tanesco na capacity charge sasa naona wanahamia huko kwenye gesi..muda utaongea ...
 
Wanajenga ikiwa kama ni kuzima soo la NTWARA au walikua na mpango huo kabla???
 
NI LINI HAWA WATU WATAACHA KUTUZUNGUKA NA KUTUCHEZEA SHERE???HIVI HAWA SYMBION KAZI YAO NI KUISAIDIA SERIKALI PALE PANAKO FUKA MOSHI AU???Ama kweli wajinga ndio _ _ _ _ _.
 
Si mlilia kuwa m-China anawaibia gesi sasa mNyamwezi mwenyewe katia timu Ntwara....bata wa maskini hatagi:A S 100:
 
kuhusu symbion hakuna atakaeongea. kwani hata ile mtambo yetu iliponunuliwa majitu kimyaaa kama yamemwagiwa manji yenye barafu, hakuna cha slaa wala shangazi yake mbowe. ndo ujue hapa kuna double standard. mazuzu.
 
wanamtwara tunawaletea symbion ili mpate umeme wa gridi.
hatutaki maswali kuwa je ni wa gesi au ni wa majenereta.

hatutaki muulize huu mpango ni wa lini ila kaeni mkao wa kuipokea kampuni.
 
400 mgw? Bado sana. No way! Mtwara should power EA for ever and a day.
 
Symbion Power Agrees to Build 400MW Power Plant in Tanzania

2013-02-13 | By David Malingha Doy

Feb. 13 (Bloomberg) -- U.S.-based co. reached agreement with Tanzania Electric Supply Co. to construct facility in
southern Mtwara connected by 650-km transmission line to the national grid in Songea, Symbion says in e-mailed statement.

* Financing may come from U.S. govt agencies including the U.S. Export-Import Bank and Overseas Private Investment
Corp., Symbion CEO Paul Hinks says, according to statement

.......

Deni letu kwa kila mtu na aliyetungwa kwenye mimba ni TShs. 450,000. Sasa tunaongeza deni tena, kweli tunajiendea tu hapa dunia.

Halafu Symbion==Richmond==Dowans, kwa nini wao? Kuna haja na kuanza kudai uhuru kutoka kw mkoloni tena kwani ukoloni ulishakomaa sasa.
 
Kwani hawa Simbion wamepewa huu mkataba kwa vigezo gani? Na ni makampuni gani mengine yalishiliki kuomba tenda ya mradi huu?
 
Hii ni zaidi ya siasa. Ni ujinga wa wanasiasa na dalili za A failed State.

Haaahaaa! Indeed, some people are alive because its illegal to kill them...its a failed state
 
Back
Top Bottom