Symbion Power Kujenga Mtambo wa Umeme Mtwara

Symbion Power Kujenga Mtambo wa Umeme Mtwara

ielewe mitaa kisha ielewe(ielewe ,ikulewe) ielewe sanaa.. -FID Q....
SIWAAMINI SYMBION ...kwa maono yangu hawa ndio agency wa marekani ambao wanataka kupenya kwenye rasimali zetu baada ya kuona fursa kwenye nishati na mafuta mengi yatafuata kutoka kwa hawa wasanii.....(symbion)....
 
Hivi hawa Symbion si ni ndugu na Richmond? Kweli wa TZ ni mazuzu zaidi ya uzuzu
 
Leo nimesikia radioni kuwa BARAKA OBAMA atatembelea ule mtambo tata wa SYMBION pale Ubungo jumaatatu akiongozana na JK of course
 
Ndachuwa,
Some food of thoughts!
Symbion Power Agrees to Build 400MW Power Plant in Tanzania
2013-02-13 | By David Malingha Doy
Feb. 13 (Bloomberg) -- U.S.-based co. reached agreement with Tanzania Electric Supply Co. to construct facility in
southern Mtwara connected by 650-km transmission line to the national grid in Songea, Symbion says in e-mailed statement.
* Financing may come from U.S. govt agencies including the U.S. Export-Import Bank and Overseas Private Investment Corp., Symbion CEO Paul Hinks says, according to statement
Take another one:
ielewe mitaa kisha ielewe(ielewe ,ikulewe) ielewe sanaa.. -FID Q....
SIWAAMINI SYMBION ...kwa maono yangu hawa ndio agency wa marekani ambao wanataka kupenya kwenye rasimali zetu baada ya kuona fursa kwenye nishati na mafuta mengi yatafuata kutoka kwa hawa wasanii.....(symbion)....
 
Kwahiyo hiyo iko katika mpango ule wa power africa ambapo bank ya marekani ya Export import imejitolea kutoa loan kwa makampuni ya kimarekani ikiwemo symbon kuja kuwekeza afrika.hiyo benk imejitolea dolar bilion 5,wakati OPIC wametoa dola bilion 1.5.
EX-IM BANK enable US companies larger and small to turn export oppotunities into real sales to help to maintain and creat US job and contribute to a stronger national economy.
Www.exim.gov
OPIC : Overseas Private Investment Corporation
 
Back
Top Bottom