Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
Btw mie usiniprohibit kwako !
Mie na wewe hatuna blood relation !
So far incase tukimaindiana tunakulana tu !
Hakuna shombo! Wala vumba !
Usijali !
Incase umeguswa, ni mambo yapo kunako wengi .
we hatuna undugu hata wa kusingiziwa
ko hata tukilana hakuna effect kwenye
familia zetu.........kiroho swafi na burudan
Nielewe tu Judgement! Kama ulikuwa hunilengi mimi ila ulitoa mfano tu, bahati mbaya sikukupata! Yote tuliyoandika yawe 'nullified' ie yabatilishwe!Muheshimiwa! Napata tabu kukuelewa !
Hapa sijakutaja , na katika niliyowalenga wewe haukua kichwani mwangu kabisaa!
Yawezekana ikawa habari ya jiwe la gizani !
Sijui hapo nilipotumia neno "kwa mfano wewe SHIEKA unakuja ..,......."
Ndiyo ukaona nimekulenga ?
Ni kama unadandia gari ubavuni hivi , Sikuelewielewi
Neno "kwa mf." nalo nilitolee explaination?
Nielewe tu Judgement! Kama ulikuwa hunilengi mimi ila ulitoa mfano tu, bahati mbaya sikukupata! Yote tuliyoandika yawe 'nullified' ie yabatilishwe!
he is Kaizer's nephew. so mie ni aunt wake.
that one I can understand........leo nilikuwa nawasoma kwenye BSS nimecheka mwenyewe tu
Baby DEMBA huyu shogako Heaven on Earth anajifanya hajui ndugu zetu kweli hajamsikia kijana wangu Judgement akiniita Ankal au? Ngoja nimkamate
Braza kuna mabazazi ya sredi yamejaa fulu humu. Yakiona za mademu yoooooe yankesha humo ila za mameni wanapita kama hawajaona kitu. wasamehe tu ila kuanzia sasa watajifunza.
Huu uelewa wako wa haraka , unanilazimisha niwa seduce viongozi wa hapa wakutaftie cheo!
Nway sasa unaruhusiwa kuchakachua uzi utakavyo.
Even ukimix viazi, utumbo , makande mihogo shusha tu! Full-ruksa !
Braza kuna mabazazi ya sredi yamejaa fulu humu. Yakiona za mademu yoooooe yankesha humo ila za mameni wanapita kama hawajaona kitu. wasamehe tu ila kuanzia sasa watajifunza.
kuumbeeeee...... Hahaha
wii I miss you so much