Symptoms Za Ubinafsi Chitchat mnaziona ?

Braza kuna mabazazi ya sredi yamejaa fulu humu. Yakiona za mademu yoooooe yankesha humo ila za mameni wanapita kama hawajaona kitu. wasamehe tu ila kuanzia sasa watajifunza.

Now you make me some lesson Arushaone !
Kumbe tunao watu afterchupi humu !
 
Last edited by a moderator:
nimekupendaje burw J,ankal wako Kaizer asingekuwepo humu ndani

ningekuja hapo ulipo nikupe busu mwanana la asante

Huo M'busu u-hold kwanza niandae watu wa shutin' thereafter vedeo zisambazwe Mawhatssap , Matwiraa na makwengineko!
 
Last edited by a moderator:
HAKUNA TATIZO ILA NILIPATWA NA :A S-confused1::A S-confused1:
NIKAGONJWEKA KIAINA SI UNAJUA TENA
HOMA ZA USIKU BESTITO?

Afu Biibi wewe nna siku mbili tatu sikutii machoni !
Nini mbaya ?
Unagonjweka?
 

Ni kama sielewi elewi vile eti hatuchangii nini sasa
 
Last edited by a moderator:
Duh bro inakuwaje ?
Punguza jazba watu wanatofautiana aisee.
Relux na maisha yanaenda!
 
Ukweli kabisa

Ila kwa upande mwingine inategemea na ubunifu wa mleta sred na namna atakavyojitahidi kuchangamsha genge
 
Hivi waelewa mimi na wewe maruhani wetu wakipanda !
Shetani wetu watapungwa na mganga-fundi mmoja .

Usinikumbushe mambo ya zamani mweee ya kupeleka kuku kwa mganga wakati home hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…