Kwa hiyo wote wengine wanaotoa huduma za jamii wakaombe uwakilishi AU? does it make sense? ...hawa mapapa ni wazugaji tu hakuna lolote? the bottom line ni kueneza church influence to political leaders in africa..that is the mission..Nimekujibu Swali lako ulilouliza Wakatoliki wanasaidiaje A common man in the street,wala sikulenga kuonesha ni DINI(DHEHEBU????) gani lililo bora katika kutoa huduma za jamii
Mkuu kwani wamesema wataona uanachama kama State?
Tunatakiwa tuiangalie kwa misingi yote ...kwani wangapi wanasaidia common man..then nao waombe uwakilishi huko?? huo ndio UDINI wenyewe kutafuta namna ya ku-infulence politics (political leaders on the favour of church)..hakuna lolote that is the missionDuh...ama kweli tuna kazi sana...yaani mkuu kweli huoni ambacho Katoliki wanamsaidia "common man"?
Usiangalie hoja hii kwa misingi ya kidini, utaielewa vizuri tu.
The AU charter says this about membership
Sasa hao wa Vatican / Holy See wataomba membership kwa minajili gani wakati wao si African state?
-The Catholic Church could seek formal representation in the African Union to improve the church-s work in justice and peace on the continent.
Archbishop Berhaneyesus Demerew Souraphiel of Addis Ababa, the AU headquarters, made the suggestion at the second African Synod underway in Rome.
-It is my hope that the Holy See appoints a permanent representative to the AU who should attend all the meetings whenever they take place and who could keep in personal contact with the Catholic members of that important institution,- Archbishop Souraphiel said.
-This special representative preferably would have diplomatic credentials comparable to the one of an Apostolic Nuncio
-Archbishop Souraphiel said that a Catholic representative could be appointed to the AU to be fully committed and available for his mission in such a way that he may attend the meetings and meet the persons who have key influence in the decision making process.
Hii hapa chini nayo kali
-According to the prelate almost 50 percent of the members of AU are of the
Catholic Church and the Apostolic Nuncio in Ethiopia is invited to attend the general assemblies of the AU whenever they take place in Addis Ababa as an observer.
.
Wakiruhusiwa next thing you know waislam nao watataka uanachama and from there you know where this will lead, a modern day crusade. Hatutaki that kind of zoo, the AU is challenging as it is, kwa nini tulete controversies zisizo sababu?
These guys are smart, really smart..
Be specific YEBOYEBO, which guys are smart!Talk something to be understood by the intended audience c`mon!
Tunatakiwa tuiangalie kwa misingi yote ...kwani wangapi wanasaidia common man..then nao waombe uwakilishi huko??
Kwani ni lipi alilosema uwongo? Kama amesema ukweli kwa nini azuiwe?
Ukisoma hiyo charter utagundua hakuna uanachama usio state, ndiyo maana hawaongelei "member" bali wanaongelea "member state".
Zaidi ya hapo wame specify kwamba ili kuwa mwanachama inabidi hii state iwe african state, maana yake Greece, The UK, Saudi Arabia, The Holy See/ Vatican, Malta etc hazina hata qualification ya ku apply kwani ingawa ni states, si African States. Kuna sehemu nyingine katika hii charter inayoelezea uanachama wa non- African states au non-states?
Ona hiyo act hapa http://www.africa-union.org/About_AU/AbConstitutive_Act.htm
Tunatakiwa tuiangalie kwa misingi yote ...kwani wangapi wanasaidia common man..then nao waombe uwakilishi huko?? huo ndio UDINI wenyewe kutafuta namna ya ku-infulence politics (political leaders on the favour of church)..hakuna lolote that is the mission
Kama kuna shida waislamu na nyinyi ombeni kiti. Shida iko wapi?
Halafu wengi mnabisha bila ya kuelewa mambo. Hata kama Vatikani itaomba kiti, nadhani itaomba kiti kama observer au msikilizaji, just kama umoja wa nchi za ulaya ulivyo katika AU. Sasa shida iko wapii? Hivyo kaeni mkijua kuwa Vatican haitakuwa ya kwanza kuomba kiti katika AU. Nchi nyingine zipo kama observers.
Mkitaka ufafanuzi zaidi, nitawapa shule katika hili.
Waislamu watafanya immediately wakatoliki wakishafanya..lakini haya mambo ya UDINI kwenye siasa (political influence) wanaanzaga hao wakatoliki..let wait and see...in every action there is equal and opposite reaction...Kama kuna shida waislamu na nyinyi ombeni kiti. Shida iko wapi?
Halafu wengi mnabisha bila ya kuelewa mambo. Hata kama Vatikani itaomba kiti, nadhani itaomba kiti kama observer au msikilizaji, just kama umoja wa nchi za ulaya ulivyo katika AU. Sasa shida iko wapii? Hivyo kaeni mkijua kuwa Vatican haitakuwa ya kwanza kuomba kiti katika AU. Nchi nyingine zipo kama observers.
Mkitaka ufafanuzi zaidi, nitawapa shule katika hili.
Waislamu watafanya immediately wakatoliki wakishafanya..lakini haya mambo ya UDINI kwenye siasa (political influence) wanaanzaga hao wakatoliki..let wait and see...in every action there is equal and opposite reaction...
Kama kuna shida waislamu na nyinyi ombeni kiti. Shida iko wapi?
Halafu wengi mnabisha bila ya kuelewa mambo. Hata kama Vatikani itaomba kiti, nadhani itaomba kiti kama observer au msikilizaji, just kama umoja wa nchi za ulaya ulivyo katika AU. Sasa shida iko wapii? Hivyo kaeni mkijua kuwa Vatican haitakuwa ya kwanza kuomba kiti katika AU. Nchi nyingine zipo kama observers.
Mkitaka ufafanuzi zaidi, nitawapa shule katika hili.
First of all, huhitaji uanachama ili kuwa observer.Ukifutilia elimu inayotolewa na thread hii kutoka kwa watu mbalimbali utagundua hawa watu tayari wanahudhuria kama observers bila ya kuwa wanachama.Wanachotaka sasa ni kuwa wanachama kamili ili watoke katika status ya observers na kuweza ku influence policy.
Kuruhusu non-african states au non state organisations kutafungua a can of worms ambayo italeta matatizo mengi kuliko itakayofungua.
Hivi EU kuna non-European state member? hata baadhi ya European states hazijapata uanachama.Kama tunataka chombo serious tuiache katiba kama ilivyo, with membership to African states only.
Otherwise kama tunataka zoo turuhusu haya mabadiliko, hata mimi na familia yangu tuta apply membership tuwe na sauti, si kutakuwa na precedent bwana?