Ukisoma hiyo charter utagundua hakuna uanachama usio state, ndiyo maana hawaongelei "member" bali wanaongelea "member state".
Zaidi ya hapo wame specify kwamba ili kuwa mwanachama inabidi hii state iwe african state, maana yake Greece, The UK, Saudi Arabia, The Holy See/ Vatican, Malta etc hazina hata qualification ya ku apply kwani ingawa ni states, si African States. Kuna sehemu nyingine katika hii charter inayoelezea uanachama wa non- African states au non-states?
Ona hiyo act hapa
http://www.africa-union.org/About_AU/AbConstitutive_Act.htm