hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Huko Siria kumekuwa pagumu mno
Sasa ni kuuana tu wenyewe kwa wenyewe
Al Julan ameomba meza wayajenge na wafuasi wa Assad, maana wamekuja na nguvu mpya na kutoa changamoto ya uhakika. Wanajeshi wa kisuni wanaomtii Julan wanawasonga raia wa kishia kisha wanawaua. Baada serikali ya Siria kuanguka mikononi mwa Wasuni wa HTS, raia walifurahia mno wakiona wamepata ukombozi kutoka kwenye familia ya Assad iliyotawala Siria kwa miaka 53. Kibembe kilianza pale Julan na baraza lake walipotangaza Syria kuwa ni nchi ya Kislamu kwa imani ya kisuni. Hivyo makundi madogo kama Wakristo hasa Washia wakaanza kuona changamoto ya ubaguzi. Assad hakuwa mbaguzi wa kidini ingawa kwenye siasa hakutaka kuingiliwa. Sasa Assad anaweza kurudi maana raia wa Siria wameanza kuchoka utawala wa kisuni.
Washia ni wavumilivu na watulivu. Na katika eneo la vita, ni wapiganaji mno kuliko Wasuni, na sio wanafiki, wanamaanisha wakiamua jambo. Wasuni ni wepesi kuyumba na kutumika, maana akili zao zipo kiitikadi zaidi, na sio wasomi kama Washia. Na ndio maana ni wepesi kushawishika kujitoa muhanga jambo ambalo huwezi kulisikia kwa washia.
Syria inapaswa kutawaliwa kisekula kama Misri na sio kiitaki.