mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Hali ni tete kwa waasi wanaoungwa mkono na jeshi la Marekani
Yule yupo upande wa Waturuki.Marekani yeye yupo upande wa SDF(Wakurdi)Inamaana yule aliepindua serikali US wamemtosa? Yule chizi wa ISIS
Nani mwenye eneo kubwa LA utawala Kwa Sasa Kati Yao makundi hayoYule yupo upande wa Waturuki.Marekani yeye yupo upande wa SDF(Wakurdi)
Wakurdi walikuwa wana mikoa zaidi ya 10 na walikuwa wanashikilia asilimia 60 ya mafuta yote ya Syria.Ndani ya siku 3 tu washapokonywa mikoa 7.wamebaki na mikoa mitatu tuNani mwenye eneo kubwa LA utawala Kwa Sasa Kati Yao makundi hayo