Kachina95
Member
- Mar 7, 2019
- 62
- 211
Namkumbisha msajiri wa vyama vya siasa jaji Mtungi na msaidizi wake bwana Nyahoza kuchukua hatua za haraka sana kukiandikia barua chama cha mapinduzi CCM.
Hii nikutokana na kauli mbali mbali zinazotolewa na makada wake wazanzibari zinazohamasisha ubaguzi dhidi ya watanganyika waishio Zanzibar. Kwani kwa kauli hizo wanahatarisha muungano wetu. Napendekeza chama cha mapiduzi kifutiwe usajiri au kipigwe faini
Naamini msajiri na ofisi yake makini inafuatilia mwenendo huu wa CCM na itachikua hatua madhubuti