System Imetumaliza – Wasomi Tupo Mtaani, Tuna-survive Kama Madawg Walioachwa Kwenye Jungle!"

System Imetumaliza – Wasomi Tupo Mtaani, Tuna-survive Kama Madawg Walioachwa Kwenye Jungle!"

Wenzako wana master's ya kutibu watu na ajira hamna we endelea kupiga domo humu jf mshaambiwa serikali haina uwezo wa kuwaajiri wote nyinyi lkn hamsikii
Kama hawana uwezo waachie wenye uwezo wafanye hiyo kazi..kwann uendelee kushikilia nafasi ambayo ww mwenyewe unadmit huna uwezo..wakati Kuna wengine wana uwezo wa kusolve Hilo tatizo
 
Back
Top Bottom