Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Yo ma men, sikiliza hii game real quick...
CAG ni OG wetu kwenye system, yaani Controller and Auditor General, the man supposed to check these sneaky-ass politicians when they misuse our tax money.
But guess what?
Every time jamaa anatoa report, it's like he droppin' a bomb on dirty secrets – mabilioni zinapotea, deals za kizushi zinaonekana, na bado wanajifanya hamna kitu.
How the hell we losin’ trillions but still broke?
Yo, watu vijijini hawana maji, shule hazina madawati, madaktari wanapiga hustle kama machinga, but these gov fools out here livin' like rappers – private jets, fat whips, presidential suites.
Na CAG akisema ukweli, what they do?
Wanazima spotlight. Wanamute jamaa.
They hate truth like a snitch in the trap house.
Unakumbuka Prof. Musa Assad?
Huyo jamaa alitoka na kusema, “Bunge halifanyi kazi yake.”
That was straight bars, bro!
Na system ikamjibu? “You talk too much, get out.”
Walim-drop kama verse ya wack rapper. That’s cold.
Bruh, why these reports hazionekani?
Kwa nini CAG anatoa ripoti, halafu hazisambazwi mtaani?
Manze hizi documents ni za wananchi. It’s our bread they messin’ with!
Lakini wanazificha kama cocaine. Wanazitupa kwenye mafaili kama evidence ya mtego.
Why we lettin’ these fools get away with murder – financial murder, fam!
Yo, ask yourself:
Mbona mtu akisema ukweli anatengwa?
Mbona ukiliwa hela unanyamaza?
Mbona ukidai uwazi unaitwa mchochezi?
Since when did being woke become a crime?
Real talk, watu wangu, the constitution is not a bedtime story.
It’s our fin’ power.
Katiba inasema mamlaka ni yetu.
Lakini tumeuziwa woga. Tumeambiwa tusiseme. Tumeambiwa “siasa siyo ya vijana.”
Man, f that.
Tunachojua ni kuwa bila sisi, hakuna chochote kinafanyika.
Na bila haki, hakuna amani – just pressure cooker na stress.
So yo, kwa wale bado wamelala:
Wake up!
Check the CAG reports!
Ask where the bag at!
Demand accountability from these jokers.
Kwa sababu hii ni street war – si kwa bunduki, bali kwa ukweli.
And truth hit harder than bullets.
If you feel this sh*t, don’t scroll. Share it. Print it. Speak it.
Tunaweza kuibadilisha hii system – si kwa kuomba, bali kwa kusimama kama jeshi la mtaa.
Sio kila siku tunaambiwa “tuvumilie” huku wanatupiga fix ya kisiasa.
One last word, ma men:
Stay woke, stay loud, stay dangerous.
This system scared of one thing – a united, informed, pissed-off street.
Na hiyo ndo sisi. Period.