X-Agent
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 8,989
- 17,113
Tunauza system inayoweza kuguide walinzi katika utendaji wao wa kazi, system hii inakuwezesha kuwapangia walinzi kuwa ndani ya muda flani anatakiwa awe amatrol point A,B,C,D, e.t.c na utapata record ya performance yake katika computer ili kujua kama mlinzi anapatrol kama inavyopaswa au huwa analala.
inauwezo wa kumonitor mlinzi 1 mpaka 1000+
Ni solution nzuri kwa -
Makampuni
Mashirika
Majumbani
wanaojali usalama -
Vifaa vyote utakavyofungiwa ni genuine na vina warranty ya Mwaka mzima
Ukishafungiwa checkup, service na assistance ni bure.
Tupigie-