Sasa usiwe mbishi maana ukimwona utacheka.Sio kweli!Mimi simjui lakini!nimejenga picha tuu!nafikiri ni mrefuu !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16]ngoja mpk siku nikimuona ndo ntakuja kuthibitisha haya uyasemayoo!!kama kweliSasa usiwe mbishi maana ukimwona utacheka.
naona makonda kawabip kidogo kuwakatia umeme kwa sababu hawajampa nafasi ya kwenda kutoa neno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya makaratasi makubwa yana nini,mbona yanagombaniwa?
Hawa wanajua kila mtu mpemba atiii!wanaleta mavitu ya ajabu hapa ukumbii Hamna amsha amshaaUmeme tena Au?
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwelii.......Kuna shughuli ambazo zinahitaji host ambao wanaviutani utani flani ili kutokuwachosha waliolipa viingilio vyao,host's wa hii kama hawatabadili gia hewani watawachosha viewers!
Usijali kina mboso khan wataamsha amsha mda c mrefuHapanaHawa wanajua kila mtu mpemba atiii!wanaleta mavitu ya ajabu hapa ukumbii Hamna amsha amshaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app