Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
ndo hapo sasa,
Nawasubiri haooo!!Usijali kina mboso khan wataamsha amsha mda c mrefu
Nafikili ata wewe kuna ukipendacho maishani mwako. Ile tamthilia ni zaidi ya hicho unacho kipenda wewe niamini mimi.Akili ndogo huzaa matope sasa ana nini huyo atakupa nini ukikaa nae
Sent from my iPhone using JamiiForums
nahisi na yeye atazingua tu
Watakuja wakati watu wamechokaUsijali kina mboso khan wataamsha amsha mda c mrefu
nahisi na yeye atazingua tu
Sana tu. Maana hii show hata akitokea mtu akafanya vizuri atafichwa na ubovu wa show.
Sent using Jamii Forums mobile app
mpaka amekatishwa
Huwa hawa angalii Oscar na matuzo mengine makubwa, wote wanaboa kuanzia ma host mpaka audiance wamesinziaSana tu. Maana hii show hata akitokea mtu akafanya vizuri atafichwa na ubovu wa show.
Sent using Jamii Forums mobile app
Faiza hyuHuwa hawa angalii Oscar na matuzo mengine makubwa, wote wanaboa kuanzia ma host mpaka audiance wamesinzia